myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️Muda wako ndio rasilimali pekee inayopungua kila kukicha. Tumia vyema kila dakika, fanya vitu vinavyokujenga, vinavyokupeleka mbele. Vinavyokupa amani, vinavyokupa nguvu ya kuamka kila siku na kusema leo pia ni siku nyingine kubadilisha maisha yangu.
PAMBANIASafari ya maisha ni kupambana na changamoto. Hakuna urahisi katika makuzi, hasa kama unataka kuishi maisha yenye tija na malengo. Utakumbana na mengi, usikate tamaa. Pigana ili utimize kile unachotaka. A luta Continua !
SawasawaKuamini kila mtu ni hatari. Kutoamini mtu yeyote ni hatari zaidi.
📌📌📌Safari ya maisha ni kupambana na changamoto. Hakuna urahisi katika makuzi, hasa kama unataka kuishi maisha yenye tija na malengo. Utakumbana na mengi, usikate tamaa. Pigana ili utimize kile unachotaka. A luta Continua !
Daima mbele...Kila uchao ni fursa mpya. Tumia nafasi hii kuboresha maisha yako, kwa namna yeyote ile. Kwenye mapambano hakuna kurudi nyuma, daima tunasonga mbele.
MALENGO ✔️Timiza malengo kutimiza ndoto zako, si kuonyesha wengine.
FURAHA ✔️Jenga furaha ndani yako, usitafute kujionyesha kwa wengine.
FURSA ✔️Kila uchao ni fursa mpya. Tumia nafasi hii kuboresha maisha yako, kwa namna yeyote ile. Kwenye mapambano hakuna kurudi nyuma, daima tunasonga mbele.
TIMIZA NDOTO ZAKO ✔️Timiza malengo kutimiza ndoto zako, si kuonyesha wengine.
KweliTabia mbaya huchafua roho na kuzima nuru ya utu. Tabia ni msingi wa heshima, daraja linalotuunganisha na wengine. Ikiwa tabia ni mbovu, basi mali, ujuzi, au uzuri hupoteza maana