myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️Kuwa na subira, si kila kitu, hata vinavyoonekana ni muhimu kwa sasa, vinapaswa kupewa kipaumbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
✅️✅️Kuwa na subira, si kila kitu, hata vinavyoonekana ni muhimu kwa sasa, vinapaswa kupewa kipaumbele.
Kuwa na subira, si kila kitu, hata vinavyoonekana ni muhimu kwa sasa, vinapaswa kupewa kipaumbele.
Hili muhimuJizuie, fanya kilicho sahihi muda wote
Anza kila siku kwa tumaini jipya
Tabia mbaya huchafua roho na kuzima nuru ya utu. Tabia ni msingi wa heshima, daraja linalotuunganisha na wengine. Ikiwa tabia ni mbovu, basi mali, ujuzi, au uzuri hupoteza maana