myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Mafanikio ni safari yenye changamoto na mafunzo lukuki. Uvumilivu, subira, na kiasi vina thamani kubwa kuliko matokeo ya muda mfupi.
Vizuizi pekee ni fikra na mtazamo wako. Vingine ni visingizio.
Usikate tamaa, endelea kusonga mbele kwa bidii na imani. Usife moyo, kila siku ina umuhimu wake.
Usichoke kupambana,juhudi zako zina thamani kubwa
✅️✅️Usikate tamaa, endelea kusonga mbele kwa bidii na imani. Usife moyo, kila siku ina umuhimu wake.
Bilauri la maji hubebwa na mikono mingi, na bado maji yake hubaki safi kunywa.
Lakini mikono ikichovywa ndani yake, maji hupoteza usafi na kuwa najis.
Hapa hatuongelei bilauri wala maji, mwenye busara ang’amue.
Maana, bidhaa ikipatikana kirahisi na thamani yake hushuka.
Mafanikio hayahitaji uharaka, bali kujitoa kwa uthabiti na maarifa.
Wasiwasi na hofu havibadili matokeo,
Mengine yanayotokea, hutokea bila nguvu zako.
Usikate tamaa, hata ukikumbana na changamoto,
Mambo mazuri yaja, kama jua la asubuhi linalochomoza.
Changamoto ni kupambana nazoUsikimbie changamoto, zikumbatie!
Changamoto ni daraja la mafanikio, njia ya mkato kufikia malengo yako.
Zikabili kwa ujasiri, na utafanikiwa haraka zaidi.
👍👍Ukitaka kuwa milionea usiwaze sana hela, bali jikite kufanya vitu na kusaka ujuzi unaotengeneza mamilioni.
Usikimbie changamoto, zikumbatie!
Changamoto ni daraja la mafanikio, njia ya mkato kufikia malengo yako.
Zikabili kwa ujasiri, na utafanikiwa haraka zaidi.
Ukitaka kuwa milionea usiwaze sana hela, bali jikite kufanya vitu na kusaka ujuzi unaotengeneza mamilioni.
Usikimbie changamoto, zikumbatie!
Changamoto ni daraja la mafanikio, njia ya mkato kufikia malengo yako.
Zikabili kwa ujasiri, na utafanikiwa haraka zaidi.
Mafanikio yako muhimuMafanikio hayahitaji uharaka, bali kujitoa kwa uthabiti na maarifa.
Changamoto ni njia ya mkato kufikia malengo yako. Usipoteze dira, kuwa thabiti na simama imara.
📌📌Thamani huongezwa kwa maadili na mchango wako kwa jamii
SawasawaUthabiti wa fikra na mtazamo wako huamua ubora wa maisha yako.
✅️✅️Anayetaka kuondoka kwenye maisha yako huwezi kumzuia, Utamchelewesha tu, Busara Muache aende akatafute changamoto zingine.
👍👍👍Changamoto ni njia ya mkato kufikia malengo yako. Usipoteze dira, kuwa thabiti na simama imara.
📌📌Hakuna changamoto kubwa au ndogo zaidi ya namna unavyozipa umuhimu.