Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenye Busara
Bilauri la maji hubebwa na mikono mingi, na bado maji yake hubaki safi kunywa.

Lakini mikono ikichovywa ndani yake, maji hupoteza usafi na kuwa najis.

Hapa hatuongelei bilauri wala maji, mwenye busara ang’amue.

Maana, bidhaa ikipatikana kirahisi na thamani yake hushuka.
 
Kinachokukwamisha Wewe Sio Kukosa Pa Kuanzia, ila ni Ujasiri wa Kuanzia Ulipo na Ulichonacho
 
Back
Top Bottom