Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mbali na leo wapi nimesema?Sasa mbona umekuja kulia lia humu mrs mshana. Kila kona mshana mshana mshana aiseeeee hivi anafahamu jitihada zako za kulilia wingi wa post xake?
Mbali na leo wapi nimesema?
Ngoja nikuache na ujinga wako huenda ndio unakupa furaha.
Kidogo kwako ni kikubwa kwa mwengine na kikubwa kwako ni kidogo kwa mwengine
Hujitoi muhanga ufanikiwe. Unawaza zaidi matokeo kuliko kuweka jitihada.
Hujitoi muhanga ufanikiwe. Unawaza zaidi matokeo kuliko kuweka jitihada.
Kidogo kwako ni kikubwa kwa mwengine na kikubwa kwako ni kidogo kwa mwengine
πKamwe usile sehemu ya mwisho ya chakula ambacho hukununua.