myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Maisha ni kama mti: mizizi ni juhudi zako, shina ni uvumilivu wako, na matunda ni matokeo ya kile unachoweka. Panda mema, vumilia changamoto, na utaishi kufurahia mavuno yako."

Ogopa sana rafiki ambaye anakutia moyo kwenye juhudi zako lakini hakupongezi siku ya ushindi wako, wengi wafurahio kwenye kushindwa kwako
Pamoja Na Juhudi Zako Kwenye Kutafuta Maisha Usisahau Yakuwa Ni Mungu Pekee Ndiye Anayeruhusu Mabadiliko Yaku Pate, Hivyo Usimsahau Kwenye Mahangaiko Yako.
Elekeza Juhudi zako kwenye kile unachoamini Katika Maisha yako!
Unaweza kufanikiwa kwa juhudi zako mwenyewe ila utafanikiwa zaidi endapo utakua na watu sahihi pembeni yako.Sio kila mtu anafaa kuwa karibu yako,chagua wale tu wanaokusukuma kwenda mbele.
Choosing your company is a winning strategy.
✅️✅️Unaweza kufanikiwa kwa juhudi zako mwenyewe ila utafanikiwa zaidi endapo utakua na watu sahihi pembeni yako.Sio kila mtu anafaa kuwa karibu yako,chagua wale tu wanaokusukuma kwenda mbele.
Choosing your company is a winning strategy.
Unaweza kufanikiwa kwa juhudi zako mwenyewe ila utafanikiwa zaidi endapo utakua na watu sahihi pembeni yako.Sio kila mtu anafaa kuwa karibu yako,chagua wale tu wanaokusukuma kwenda mbele.
Choosing your company is a winning strategy.
Unaweza kufanikiwa kwa juhudi zako mwenyewe ila utafanikiwa zaidi endapo utakua na watu sahihi pembeni yako.Sio kila mtu anafaa kuwa karibu yako,chagua wale tu wanaokusukuma kwenda mbele.
Choosing your company is a winning strategy.
Kutanua akili yako na juhudi zako. Wakati wao wakipiga majungu na kukufanyia vitimbi, wewe tumia akili yako kupanga mambo vyema ili upige kasi ya maendelco.
Hakuna njia nzuri ya kumkomesha adui yako kama kukuona unasonga mbele wakati yeye anarudi nyuma.

Jina lako na liandikwe katika kitabu cha uzima ili juhudi zako zijulikane kwenye zaidi ya maisha haya. Mema yote unayofanya yapandwe kwa mavuno ya milele.
Inawezekana ikawa sio Leo, Kesho, Keshokutwa au hata sio Mwezi ujao
Lakini Iko siku Matunda ya juhudi zako yataonekana.
Sawasawa kabisaElimu Ya Darasani Haiwezi Kuwa Kama Elimu Ya Mtaani, Juhudi Zako Ndo Ushindi Wako.
Sahihi kabisaElimu Ya Darasani Haiwezi Kuwa Kama Elimu Ya Mtaani, Juhudi Zako Ndo Ushindi Wako.
NAKUBALIWatu wengi watakuheshimu kwa ulichofanikiwa, sio juhudi zako pekee. Tumia muda kidogo kusimulia hadithi zako na muda mwingi kuonyesha unachoweza kufanya
Watu wengi watakuheshimu kwa ulichofanikiwa, sio juhudi zako pekee. Tumia muda kidogo kusimulia hadithi zako na muda mwingi kuonyesha unachoweza kufanya
Inawezekana ikawa sio Leo, Kesho, Keshokutwa au hata sio Mwezi ujao
Lakini Iko siku Matunda ya juhudi zako yataonekana.
Mungu akulinde dhidi ya changamoto unazokabiliana nazo, akuandalie meza mbele ya macho ya adui zako na taji katika juhudi zako kwa mafanikio.