myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SawaMatatizo hayazuiliki lakini yakija usiyaruhusu yakae kwenye kiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaMatatizo hayazuiliki lakini yakija usiyaruhusu yakae kwenye kiti
Mitizamo...Huwezi kumbadilisha mtu ambaye haoni kosa lolote katika tabia na matendo yake. Ni wewe kubadili mtizamo wako kwa mtu huyo.
Darasa lako ni makosa yako
Jifunze
Ni wewe tu..Huwezi kumbadilisha mtu ambaye haoni kosa lolote katika tabia na matendo yake. Ni wewe kubadili mtizamo wako kwa mtu huyo.
Kila jambo kwa KIASI na kila jambo kwa WAKATI. Hizi ni KANUNI MBILI muhimu zinazotawala maisha ya mwanadamu na ufunguo kwa maisha ya furaha.
Hata nyani hucheka🤣🤣Kuna Kucheka Na Kufurahi, Kwenye Kucheka Hata Nyani Huwa Wanacheka Sasa Kwenye Kufurahi Ndio Kazi Ipo Ni Wachache Wamebarikiwa Kufurahi
Kuna Kucheka Na Kufurahi, Kwenye Kucheka Hata Nyani Huwa Wanacheka Sasa Kwenye Kufurahi Ndio Kazi Ipo Ni Wachache Wamebarikiwa Kufurahi
🙏🙏Kuongea na Mwenyezi Mungu husaidia kupunguza hofu kwenye gumu lolote lililo mbele yako
✅️✅️✅️Kuongea na Mwenyezi Mungu husaidia kupunguza hofu kwenye gumu lolote lililo mbele yako
SawaNeno lako la mwisho laweza kupangua au kuhitimisha yote mengine uliyosema awali
Kweli..Kuongea na Mwenyezi Mungu husaidia kupunguza hofu kwenye gumu lolote lililo mbele yako
📌📌Kuna Kucheka Na Kufurahi, Kwenye Kucheka Hata Nyani Huwa Wanacheka Sasa Kwenye Kufurahi Ndio Kazi Ipo Ni Wachache Wamebarikiwa Kufurahi
Ni SawasawaHaijalishi maji ni ya moto lazima yataurudia ubaridi
SahihiMtu yeyote anayetawaliwa na chuki ni dhaifu
✅️✅️✅️Haijalishi maji ni ya moto lazima yataurudia ubaridi