moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Hili kweliTunaishi kwenye dunia ambayo, watu wenye roho mbaya ndio wanaojifanya wema.
✔️✔️✔️Huwezi kuwa Mtu muhimu Kama Umuhimu wako hujauonyesha.
📌📌Huwezi kuwa Mtu muhimu Kama Umuhimu wako hujauonyesha.
✅️✅️✅️Kama vile raha isivyo dumu, ni hivyo kwa masikitiko
Wekeza...Wekeza pesa upate pesa,
wekeza maneno upate lawama
Wekeza...Wekeza pesa upate pesa,
wekeza maneno upate lawama
SawaKama vile raha isivyo dumu, ni hivyo kwa masikitiko
✅️✅️✅️Bora mtu akuone unaringa kuliko akuzoee akuvunjie heshima