myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Jukumu lako..Ukitambua kwamba maisha yako ni 100% jukumu lako, utakuwa huna tena muda wa kuwalaumu wengine
SawaUkishindwa kupanga mipango yako
Basi utakuwa katika mipango ya watu
ππUkishindwa kupanga mipango yako
Basi utakuwa katika mipango ya watu
βοΈβοΈFuraha Haina Ufundisho Wowote Ila Maumivu Hutufundisha Mambo Mengi