Maisha ni siku 2, Moja kwa ajili yako na nyingine dhidi yako.Hivyo ikitokea kuwa siku ni kwa ajili yako,jiepushe na kiburi na majivuno; na ikiwa ni dhidi yako basi kuwa mwenye subira na uvumilivu,kwani hakika siku zote hizo 2 ni mtihani juu yako

Usiendelee kung'ang'ana na hali zinazokuumiza na huoni dalili ya mabadiliko.Amua kukubali kuwa jambo hilo limeshindikana kisha endelee mbele.Huenda ni mahusiano yamefika mwisho kubali na anza safari mpya ya maisha, Pengine ni biashara ilikupa hasara kubali na anza upya

Haijalishi nani kakukataa Au kukuacha njiani wewe songa mbele Hatima zetu hazipo kwenye wale waliotuacha na kutukataa. Hatima zetu ziko mikononi mwa Mungu na wale watu sahihi ataleta kwetu