Kuna nguvu katika uaminifu, mtu anapokupa ufanye kazi yake amekuamini, anakupa usimamie biashara yake amekuamini, chochote unachofanya chini ya mtu kinahitaji uaminifu, tamaa na vitu vidogo dogo visikufanye uvunje uaminifu,fanya kazi Kwa uaminifu utafika mbali