Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Imani huinua kilichodhaifu kuwa na nguvu, Imani hufungua chemchemi ya baraka na neema, Imani ni siri ya uzima na mafanikio. Imani ni mlango wa matumaini. Si magonjwa, si dhiki, si umaskini si dhoruba nyingine za maisha zitakutisha ukiwa na imani