mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha"Atakayebaki mjini hadi Mwezi Wa saba kidume”.
Aliyesema kauli Hii Mwezi huu yupo kijijini CHATO, kweli Mungu ndiye mpangaji Wa kila jambo.
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Maji ya 500 tu saba saba nikapewa na risitiNi maeneo mengi tangu jana wanakupa risit Hata kama hutaki waitupia dirishani
AMUN RANaona mmeamka salama kwa hisani ya MOLA
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Morning my QueenBlessed Saturday morning
Kichwa ndio anaongoza,amejitokeza kijana mmoja,anatajataja majina utadhani mwana muziki wa kicongo,ananisumbua sanaMidume yenyewe miharibifu haswa
Indeed
HahahahahaTu nchwaaa..tutu nchwaaa.. Tu nchwaaa tatataaaaa chiuuu chikichikichiii chwaaaa tutu nchwaaa[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji443] [emoji442] [emoji442]endelea kuingiza masauti yako[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] atakwambia kaona kwa moyoHivyo hivyo,mbona Said wa Scorpion hana macho lakini kamuona mtoto wa Kiarabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Morning my princessAmaizing
Mkuu niajeKasulu st
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Aiseeh!TRA kila konaKuna jamaa yangu leo kaenda petrol station kaweka mafuta alipo maliza mhudumu akamuambi "samahani usiondoke nikupe risiti"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna jamaa yangu leo kaenda petrol station kaweka mafuta alipo maliza mhudumu akamuambi "samahani usiondoke nikupe risiti"
TupoziiiiWadau mpooz
Unataka nikwambie la rohoni?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umbea huo sasa,ukae kimya kwani unalo la rohoni??
And the beautiful people of TanzaniaI love my country TANZANIA
We miss u 2Missing u all