Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika maisha yaliyojaa mafumbo na mitihani mingi , Mungu alimjaalia kila mja na talanta yake , ndio maana wengine walikua hodari kufaulu mitihani ya darasani na wengine wakawa hodari kufaulu mitihani ya maisha , hivyo usichoke kujitafuta ili ujue utaalaamu wako uko eneo gani
✔️✔️
 
Kujenga kitu chochote huchukua muda na juhudi pia ila kubomoa ni jambo rahisi sana.Unaweza ukafanya kazi mwezi mzima ila mshahara unaweza maliza ndani ya siku moja tu,hata heshima pia huwa hivyo hivyo,kuwa makini wewe mwenyewe na pia kuwa makini na watu wabaya
✔️✔️✔️
 
👍👍
 
📌📌
Bila Mungu huwezi kufika uendako na hata ukifosi utalipia gharama kubwa mno ya kudhoofisha afya yako au kuua wengine . maisha yamejaa hila na mitego mingii ili tu kumnasa mwanadamu, na kwa akili yako ndogo hutoweza peke yako bila Mungu kwani mambo mengi yamefichwa ili usiyajue
 
Back
Top Bottom