myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Kwa kawaida Muda hunyamazisha watu wengi wakiwemo wale waliojiona wao ni Bora kuliko watu wengine
Fanya kila unachoweza kwa nguvu zako zote, kisha muache Mungu afanye yaliyobaki.β - Ben Carson
Mafanikio sio ajali. Ni juhudi, uvumilivu, kujifunza na kujitoa. Kubwa kuliko yote ni kupenda unachofanya.β - PelΓ©
Sawa..Fanya kila unachoweza kwa nguvu zako zote, kisha muache Mungu afanye yaliyobaki.β - Ben Carson
Jiamini kwa kila jambo unalolifanya pasipo kuangalia nani anafanya nini ili na wewe uige, fuata njia zako hata kama ni ndefu mafanikio yako yapo tuu yanakungoja kwa namna yoyote ile.
Fanya kila unachoweza kwa nguvu zako zote, kisha muache Mungu afanye yaliyobaki.β - Ben Carson
Kwa kawaida Muda hunyamazisha watu wengi wakiwemo wale waliojiona wao ni Bora kuliko watu wengine
Jamii na uongo..Jamii inapenda kusikia uongo hadi inafika hatua ukweli Una puuzwa na kuonekana hauna thamani
Kamwe usidanganyike na maisha uyaonayo kwa nje , uhalisia na ukweli wa maisha ya mtu uko ndani ya nafsi yake : Ishi na watu kwa tahadhari
UANGALIFU..Kuwa muangalifu na unachowambia watu rafiki wa leo anaweza kesho kuwa
Adui
βοΈβοΈKuwa muangalifu na unachowambia watu rafiki wa leo anaweza kesho kuwa
Adui
ππSi unaona jinsi ndugu zako na jamii inavyokuchukulia poa na Kukutizama Kama mtu usie na maana kama ukiwa huna hela wala cheo , sasa hivyo ndio namna ndugu zako watakavyoishi na watoto wako siku ukifa
ππSi unaona jinsi ndugu zako na jamii inavyokuchukulia poa na Kukutizama Kama mtu usie na maana kama ukiwa huna hela wala cheo , sasa hivyo ndio namna ndugu zako watakavyoishi na watoto wako siku ukifa
Jamii inapenda kusikia uongo hadi inafika hatua ukweli Una puuzwa na kuonekana hauna thamani
βοΈβοΈKatika maisha yaliyojaa mafumbo na mitihani mingi , Mungu alimjaalia kila mja na talanta yake , ndio maana wengine walikua hodari kufaulu mitihani ya darasani na wengine wakawa hodari kufaulu mitihani ya maisha , hivyo usichoke kujitafuta ili ujue utaalaamu wako uko eneo gani
βοΈβοΈβοΈKujenga kitu chochote huchukua muda na juhudi pia ila kubomoa ni jambo rahisi sana.Unaweza ukafanya kazi mwezi mzima ila mshahara unaweza maliza ndani ya siku moja tu,hata heshima pia huwa hivyo hivyo,kuwa makini wewe mwenyewe na pia kuwa makini na watu wabaya
ππKujenga kitu chochote huchukua muda na juhudi pia ila kubomoa ni jambo rahisi sana.Unaweza ukafanya kazi mwezi mzima ila mshahara unaweza maliza ndani ya siku moja tu,hata heshima pia huwa hivyo hivyo,kuwa makini wewe mwenyewe na pia kuwa makini na watu wabaya
Bila Mungu huwezi kufika uendako na hata ukifosi utalipia gharama kubwa mno ya kudhoofisha afya yako au kuua wengine . maisha yamejaa hila na mitego mingii ili tu kumnasa mwanadamu, na kwa akili yako ndogo hutoweza peke yako bila Mungu kwani mambo mengi yamefichwa ili usiyajue