myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔️✔️Akili inao uwezo wa kujenga au kubomoa hali yako ya maisha.
SawaJifunze kuwa na mtazamo chanya, Badala ya kuona matatizo, tafuta fursa.
✅️✅️Jifunze kuwa na mtazamo chanya, Badala ya kuona matatizo, tafuta fursa.
👍📌📌Tambua nguvu ya mawazo yako, Kila wazo kujenga uhalisia wako.
Nguvu ya mwanadamuTambua nguvu ya mawazo yako, Kila wazo kujenga uhalisia wako.
✔️✔️Tambua nguvu ya mawazo yako, Kila wazo kujenga uhalisia wako.
✅️✅️Akili inao uwezo wa kujenga au kubomoa hali yako ya maisha.
Jifunze kuwa na mtazamo chanya, Badala ya kuona matatizo, tafuta fursa.
✔️✔️Kama una familia inayokupenda, marafiki wema kadhaa, chakula kwenye meza yako hakikauki na pahala pakuishi, Wewe ni tajiri kuliko vile unavyofikiria.
Endelea kubadilika, Kubali mabadiliko kama sehemu ya ukuaji wa akili yako.
📌📌📌Endelea kubadilika, Kubali mabadiliko kama sehemu ya ukuaji wa akili yako.
NAKUBALIJijengee mazoea ya kujifunza, Soma, tafakari, na boresha maarifa yako mara kwa mara.
SahihiTenda kwa makusudi, Chukua hatua ndogo kila siku kuelekea kubadilisha maisha yako.
lakini mungu hatoshiKwenye mapambano yako ondoa kabisa mawazo ya kuwa kama utaanguka huko mbeleni yupo mtu fulani atakusaidia.
Ondoa kabisa na ikitokea wakawepo wapokee ila usiwaweke akilini.
Kama umeamua kumuamini Mungu muamini mazima mazima yeye pekee.
✅️✅️✅️Tenda kwa makusudi, Chukua hatua ndogo kila siku kuelekea kubadilisha maisha yako.
Kumuamini Mungu ni jambo la moyoni. Huenda wanamuamini kwa mashaka..lakini mungu hatoshi
wangapi wanamuamini na wanafia matatizoni
hatuna budi kutegemeana
✔️✔️✔️Kama una familia inayokupenda, marafiki wema kadhaa, chakula kwenye meza yako hakikauki na pahala pakuishi, Wewe ni tajiri kuliko vile unavyofikiria.
Siku zote kua makini na kufuata ya dunia , maana kwa kawaida yake imejaa ushawishi na ulaghai , inakupa Uhuru wa kufanya kila kitu lakini pia itakuwajibisha kwa kila kitu ulichokifanya
📌📌Siku zote kua makini na kufuata ya dunia , maana kwa kawaida yake imejaa ushawishi na ulaghai , inakupa Uhuru wa kufanya kila kitu lakini pia itakuwajibisha kwa kila kitu ulichokifanya