myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Usidanganyike na uhuru wa dunia, maana hukupa nafasi ya kufanya yote, lakini hukuhukumu kwa yote
Siku zote kua makini na kufuata ya dunia , maana kwa kawaida yake imejaa ushawishi na ulaghai , inakupa Uhuru wa kufanya kila kitu lakini pia itakuwajibisha kwa kila kitu ulichokifanya
Usidanganyike na uhuru wa dunia, maana hukupa nafasi ya kufanya yote, lakini hukuhukumu kwa yote
β οΈβ οΈβ οΈKuna siku itakuja, kutapambazuka bila ya uwepo wako duniani na maisha yatasonga chukua muda kutafakari hilo
Usiwe mtu wa vinyongo kama kuna mtu kakukosea samehe kisha sahau endelea na maisha yako vinyongo huua au kugharimu maisha yako samehe ukikosewa.
Maisha ni fumbo , na kwa bahati mbaya mwanadamu amefichwa mambo mengi sana yahusuyo ukweli wa maisha yake na pia ili iwe rahisi kwake kupotea njia na kudanganyika , Tambua kua Bila Mungu huwezi kufika salama huko uendako