myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Ukipata fursa ya kusali basi sali kama unasali mara ya Mwisho katika maisha yako! Hakuna aijuae kesho hata mtunzi wa kalenda
📌📌Siku ya kutisha katika Maisha ni kuwa Siku Moja inaweza kuwa ya Mwisho
✔️✔️Siku ya kutisha katika Maisha ni kuwa Siku Moja inaweza kuwa ya Mwisho
Mkumbushe Mwanao kuwa akikosa katika Watu akumbuke kupiga goti kwa ajili ya kusali
👍👍👍Ondoka kwenye mahusiano ambayo unaona tena huheshimiwi, husikilizwi na huthaminiwi vinginevyo hayo mahusiano yanaweza kuharibu maisha yako. Ubora wa maisha yako unategemea na Ubora wa mahusiano yako
✅️✅️✅️Ondoka kwenye mahusiano ambayo unaona tena huheshimiwi, husikilizwi na huthaminiwi vinginevyo hayo mahusiano yanaweza kuharibu maisha yako. Ubora wa maisha yako unategemea na Ubora wa mahusiano yako
Ondoka kwenye mahusiano ambayo unaona tena huheshimiwi, husikilizwi na huthaminiwi vinginevyo hayo mahusiano yanaweza kuharibu maisha yako. Ubora wa maisha yako unategemea na Ubora wa mahusiano yako
👍👍Ukipata fursa ya kusali basi sali kama unasali mara ya Mwisho katika maisha yako! Hakuna aijuae kesho hata mtunzi wa kalenda
✔️✔️✔️Tabasamu bila Sababu tabasam ya kweli Sababu yake ni tabasamu
👍👍👍Siri ya kwanza ya Ushindi ni Subira
✔️✔️✔️Some times Uwezo mdogo wa kufikiri kwa Mtu ndio Unamfanya aingilie Maisha ya Mtu ambayo hata hayamuhusu
✔️✔️Tabasamu bila Sababu tabasam ya kweli Sababu yake ni tabasamu
2✔️✔️Tabasamu bila Sababu tabasam ya kweli Sababu yake ni tabasamu
Siri ya kwanza ya Ushindi ni Subira
👍👍Siri ya kwanza ya Ushindi ni Subira
✅️✅️Some times Uwezo mdogo wa kufikiri kwa Mtu ndio Unamfanya aingilie Maisha ya Mtu ambayo hata hayamuhusu
✔️✔️Hii dunia ni ngumu sana kuishi Ukiwa Una roho nzuri
NAKUBALIANAKila Mtu ana Majira yake ambayo Mungu amemkusudia
Ni kweliWakati na bahati huwafikia Watu Wote
👍👍Wakati na bahati huwafikia Watu Wote