myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
📌📌Mafanikio yana hitaji unyenyekevu na uwe tayari kujifunza kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
📌📌Mafanikio yana hitaji unyenyekevu na uwe tayari kujifunza kila siku.
✔️✔️Wengine hatukupata fursa ya kuchagua maisha… tumezaliwa kwenye maisha tuliyonayo!"
✅️✅️✅️Tunaweza tusiwe bora kwenu, Lakini sisi ni bora sana kwenye familia zetu
📌📌📌Jifunze Kupunguza Matarajio Ita Kusaidia Kupunguza Maumivu
✔️✔️✔️Jifunze Kupunguza Matarajio Ita Kusaidia Kupunguza Maumivu
Kwenye mapambano yako ondoa kabisa mawazo ya kuwa kama utaanguka huko mbeleni yupo mtu fulani atakusaidia.
Ondoa kabisa na ikitokea wakawepo wapokee ila usiwaweke akilini.
Kama umeamua kumuamini Mungu muamini mazima mazima yeye pekee.

✔️✔️✔️Wengine hatukupata fursa ya kuchagua maisha… tumezaliwa kwenye maisha tuliyonayo!"
📌📌sio mbaya kwenye maisha ukikubali kujifunza mambo ambayo huyawezi ama huyajui kabisa kuliko kujikuta nguli ili ufurahishe watu. ujuaji ni ujinga pia.
✅️✅️✅️sio mbaya kwenye maisha ukikubali kujifunza mambo ambayo huyawezi ama huyajui kabisa kuliko kujikuta nguli ili ufurahishe watu. ujuaji ni ujinga pia.
SawasawaElimu ya kiafrica inatufanya tufanye kazi ambazo sio chaguo letu
SawasawaUsiruhusu mahusiano yawe sababu ya kuzuia Ndoto zako.
Elimu ya kiafrica inatufanya tufanye kazi ambazo sio chaguo letu
Usiruhusu mahusiano yawe sababu ya kuzuia Ndoto zako.
ELIMU..Elimu ya kiafrica inatufanya tufanye kazi ambazo sio chaguo letu
📌📌Kuna watu hawatakupa Pesa, ila wameletwa wakufungue akili ili uone pesa ilipo
Ukomavu ni pamoja na kutunza siri za aliyekuwa rafiki yako ilihali ya kuwa urafiki wenu umeshakufa.
Ukomavu ni pamoja na kutunza siri za aliyekuwa rafiki yako ilihali ya kuwa urafiki wenu umeshakufa.
✅️✅️✅️Kwa safari ndefu uliyotembea usikubali tena kurudi ulikotoka, Hata kama mbele yako umeandikiwa Hakuna njia