Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

βœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈ
Kwenye mapambano yako ondoa kabisa mawazo ya kuwa kama utaanguka huko mbeleni yupo mtu fulani atakusaidia.
Ondoa kabisa na ikitokea wakawepo wapokee ila usiwaweke akilini.

Kama umeamua kumuamini Mungu muamini mazima mazima yeye pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…