Maisha yana tabia ya kukurudishia kile kile unachotoa. Ukiwa mtu wa hasira utakutana na watakaokukasirisha. Ukiwa mtu wa amani, maisha yanakukutanisha na watakaokupa amani.
Ukiwa mtu wa majungu, dharau na kushushua watu, utakutana na hao hao watakaokupiga majungu,