myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
UKITAKA KUISHI KWA AMANI NA UTULIVU NA SIMBA, USIMSHIKE MKIA. MAISHA NI PAMOJA NA KUELEWA WAPI PA KUGUSA NA WAPI SIO PA KUGUSA
Muda Mwingine katika maisha unatakiwa ukae peke yako na ufanye maamuzi magumu kwa mustakabali wa maendeleo yako binafsi . Wachache watakuelewa

Mafanikio ni safari ndefu katika safari hiyo utafanya makosa, utapata changamoto, lakini ukitaka kufanikiwa , unahitaji kuwa muungwana, mvumilivu, nidhamu, na kujitoa , hakuna mafanikio bila juhudi

Katika Maisha Mwenyezi Mungu ndiye Suluhisho la Kila Kitu, Watu Wengi tunamsahahau Pindi tukiwa Katika Raha na furaha, Humkumbuka Wakati Wa Shida, Bila hiyana hajawai Mtupa Mtu, Tuendelee Kumuabudu Mwenyezi Mungu, Wangapi Wanakumbuka Alivyowatendea Kipindi Cha Shida.
Watu Wabaya ni Wengi sana Hapa Duniani Lakini Usiogope , Endelea Kutenda Wema, watu wema bado wapo Duniani japokuwa ni Wachache. Tenda wema , wajali wenzio, wakumbuke kwa mema pia

Katika maisha kila mtu anaweza Kuwa vile anavyotaka Kuwa , Kwa Juhudi zake mwenyewe na kupata Msaada Kutoka Kwa watu wanaomzunguka, Ukikosa Msaada ni ngumu kufanikiwa ila Bado inawezekana, Tusikate Tamaa, Tuendelee Kupambana Mpaka tone la Mwisho la Jasho.

Katika Maisha Ukiwa Kama Kijana Unatakiwa Kupambania Maisha Yako , Ukipata bahati ya Kukutana na Mtu ambae Unahisi Anaweza kukusaidia Muombe Akusaidie lakini siyo Tabia ya Kuomba Pesa kila wakati Unapokutana Nae! Tuendelee Kujifunza
Katika Maisha Mwenyezi Mungu ndiye Suluhisho la Kila Kitu, Watu Wengi tunamsahahau Pindi tukiwa Katika Raha na furaha, Humkumbuka Wakati Wa Shida, Bila hiyana hajawai Mtupa Mtu, Tuendelee Kumuabudu Mwenyezi Mungu, Wangapi Wanakumbuka Alivyowatendea Kipindi Cha Shida.
Mambo Mengi Mazuri ya watu katika Maisha tunayoyaona, watu wake walijituma, walifanya jitihada, hawakuwa wavivu, hawakuwa wazembe, hawakuwa goi goi , tukiwaiga tunaweza kufanikiwa kama Wao, Muda bado upo tusikate tamaa

✅️✅️Mambo Mengi Mazuri ya watu katika Maisha tunayoyaona, watu wake walijituma, walifanya jitihada, hawakuwa wavivu, hawakuwa wazembe, hawakuwa goi goi , tukiwaiga tunaweza kufanikiwa kama Wao, Muda bado upo tusikate tamaa
Katika Maisha Kila Mtu Ana Juhudi Zake Za Kupambana , Kuna Waliofanikiwa Na Ambao Wako Katika Mnyororo Wa Mafanikio, tabia ya Baadhi ya Watu Kuhisi Kwamba Waliofanikiwa wote Wamebebwa Inafanya Wao Wasifanikiwe Kwa Kutopambana na kuamini kwamba hawawezi fanikiwa pasipo kubebwa