Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Tuliza moyo wako, Kubali mapungufu yako, Rahisisha mahitaji yako, Ridhika na ulichonacho, Ongeza kipato chako, Chunga tamaa mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawasawaKuna wakati itabidi uteseke kwenye maisha, sio kwa sababu wewe ni mbaya. Ila kwa sababu umetenda kwa watu wasiostahili wema wako
SawasawaHatua ndogo unazochukua leo zinaweza kuwa msingi wa kesho yako iliyo bora. Endelea kusonga mbele, jifunze, na usikate tamaa
✔️✔️✔️Kuna wakati itabidi uteseke kwenye maisha, sio kwa sababu wewe ni mbaya. Ila kwa sababu umetenda kwa watu wasiostahili wema wako
📌📌Success is not about luck—it’s about preparation, persistence, and action.Opportunities don’t just come to those who wait; they come to those who work, learn, and stay ready. Keep pushing forward, even when no one is watching. Your breakthrough is closer than you think
Usikate tamaa katika jambo lenye uwezekano mkubwa wa mafanikio ya muda mrefu kwa sababu tu huwezi kuvumilia stress kwa muda mfupi.
Usipuuze nguvu ya kuungana na wengine kuanzisha Jambo la maana, japo unahitaji kuwa Makini.
Usikate tamaa katika jambo lenye uwezekano mkubwa wa mafanikio ya muda mrefu kwa sababu tu huwezi kuvumilia stress kwa muda mfupi
Usikate tamaa katika jambo lenye uwezekano mkubwa wa mafanikio ya muda mrefu kwa sababu tu huwezi kuvumilia stress kwa muda mfupi
Usikate tamaa katika jambo lenye uwezekano mkubwa wa mafanikio ya muda mrefu kwa sababu tu huwezi kuvumilia stress kwa muda mfupi
Watu wengi hubeba maumivu yao kimya kimya, kiasi kwamba unaweza kusahau wanavyoumia. Ndiyo maana ni muhimu daima kuwa mwema kwa kila mtu
📌📌Watu wengi hubeba maumivu yao kimya kimya, kiasi kwamba unaweza kusahau wanavyoumia. Ndiyo maana ni muhimu daima kuwa mwema kwa kila mtu.
✅️✅️✅️Watu wengi hubeba maumivu yao kimya kimya, kiasi kwamba unaweza kusahau wanavyoumia. Ndiyo maana ni muhimu daima kuwa mwema kwa kila mtu
SawasawaWatu wengi hubeba maumivu yao kimya kimya, kiasi kwamba unaweza kusahau wanavyoumia. Ndiyo maana ni muhimu daima kuwa mwema kwa kila mtu
InawezekanaUkiweza kuchukia tabia ya mtu na bado ukampenda inakuwa rahisi zaidi kumsaidia kushughulikia tabia yake mbaya na akabadilika.
✔️✔️Ukikigundua kipaji chako, umeyapa maisha yako ‘maana.’ Ukiweza kukitumia kipaji chako kuwanufaisha wengine, umegundua kusudi la kuishi kwako.
Ukikigundua kipaji chako, umeyapa maisha yako ‘maana.’ Ukiweza kukitumia kipaji chako kuwanufaisha wengine, umegundua kusudi la kuishi kwako.
AiseeUkiweza kuchukia tabia ya mtu na bado ukampenda inakuwa rahisi zaidi kumsaidia kushughulikia tabia yake mbaya na akabadilika.