moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
HOFU ni ADUI wa NDOTO zako.
HOFU inakukataza kuchukua hatua,
HOFU inakuaminisha kufeli kabla ya kufanya,
HOFU inakula asilimia kubwa ya maisha yako.
.Ukiweza kupambana na HOFU,tayari umefanikiwa Kwa asilimia kadhaa.
Your future is built in the small decisions you make today.Success isn’t about luck—it’s about daily choices. The books you read, the people you surround yourself with, the habits you build—these shape your tomorrow.Stay disciplined. Stay focused.
HOFU ni ADUI wa NDOTO zako.
HOFU inakukataza kuchukua hatua,
HOFU inakuaminisha kufeli kabla ya kufanya,
HOFU inakula asilimia kubwa ya maisha yako.
.Ukiweza kupambana na HOFU,tayari umefanikiwa Kwa asilimia kadhaa.
HOFU ni ADUI wa NDOTO zako.
HOFU inakukataza kuchukua hatua,
HOFU inakuaminisha kufeli kabla ya kufanya,
HOFU inakula asilimia kubwa ya maisha yako.
.Ukiweza kupambana na HOFU,tayari umefanikiwa Kwa asilimia kadhaa.
SahihiKila mtu ana ndoto, lakini si kila mtu ana uthubutu wa kuzitimiza.
Tatizo sio ndoto zako ni kubwa sana,
Tatizo ni hatuchukui hatua za kweli kuzifikia.
Apumzike kwa amani
✅️✅️✅️Ukifanya maamuzi mengi ya kawaida asubuhi unaishiwa nguvu za kufanya maamuzi ya msingi mchana.
Wanaojua ukichoka na nguvu za kuamua zinakuishia hukuletea kazi ya kuamua mchana.
📌📌📌The greatest Superpower is the ability to Change Yourself
👍👍The greatest Superpower is the ability to Change Yourself
✔️✔️✔️Maisha yako yataanza kubadilika siku utakayoamua kubeba majukumu yako bila visingizio.
Usisubiri motisha—chukua hatua leo. Hatua ndogo unazochukua kila siku ndizo zitakazotengeneza maisha makubwa kesho