myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Ukifanikiwa kumtenganisha mtu na msimamo wake, unaweza kupinga vikali msimamo wake na bado ukamheshimu kama rafiki, ukastahi utu wake na kulinda uhuru wake wa kuamua na kusimamia anachokiamini.
Unapomwombea (mtakia) mtu mabaya kisa mmekosana, unakuwa umejikweza na kujipa umuhimu usiokuwa nao. Hakuna kitakachomtokea.
Mtu hapatwi na ubaya kwa vile aliwahi kukosea. Tabia za mtu ndizo zinazomkutanisha na matokeo yanayomletea shida huko aliko na sio ubaya aliowahi

Maisha yana tabia ya kukurudishia kile kile unachotoa. Ukiwa mtu wa hasira utakutana na watakaokukasirisha. Ukiwa mtu wa amani, maisha yanakukutanisha na watakaokupa amani.
Ukiwa mtu wa majungu, dharau na kushushua watu, utakutana na hao hao watakaokupiga majungu,

Upendo hauhesabu makosa. Humfanyi umpendae kuwa mtumwa wa makosa alofanya. Hupati shida kuelewa kwa alikosea. Unachagua amani kuliko kuwa sahihi. Kuachilia hakukusumbui. Unasamehe.
Upendo huzibua masikio uwe msikivu. Ukimpenda mtu unaanza kujua asiyokuambia. Unaanza kusikia asichokisema. Unajua maumivu yake hata asipolalamika.
Upendo pia hauchezi na hisia za mtu. Ukimpenda unaheshimu hisia zake. Unahisi anachohisi hata asipokuambia. Unakuwa mwepesi kubaini ulikokosea. Hupati shida kuomba msamaha.