Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Jifunze kuishi na marafiki, usijiachie kwa kila jambo lako,ishi nao kwa uangalifu, rafiki akigeuka adui uwa adui hatari sana, kwasababu anajua kila kitu chako, atatumia nafasi hiyo kukuangamiza,muamini rafiki yako lakini jiandae kwa mapambano dhidi yake , tuishi kwa tahadhari