myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
👍👍Katika Maisha ukiwa unapambana kuna watu watataka kukukatisha tamaa na kukurudisha nyuma, usiangaike nao, Ongeza juhudi mafanikio huja kwa wale wanaopambana na siyo wanaowakatisha wenzao tamaa