myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅✅Baada ya kifo hatutakumbukwa kwa mafanikio tuliyoyapata bali ni jinsi gani tulikuwa tunaishi na watu kwa heshima na unyenyekevu
Jifunze kuishi na marafiki............Jifunze kuishi na marafiki, usijiachie kwa kila jambo lako,ishi nao kwa uangalifu, rafiki akigeuka adui uwa adui hatari sana, kwasababu anajua kila kitu chako, atatumia nafasi hiyo kukuangamiza,muamini rafiki yako lakini jiandae kwa mapambano dhidi yake , tuishi kwa tahadhari
Jifunze kuishi.....Jifunze kuishi na marafiki, usijiachie kwa kila jambo lako,ishi nao kwa uangalifu, rafiki akigeuka adui uwa adui hatari sana, kwasababu anajua kila kitu chako, atatumia nafasi hiyo kukuangamiza,muamini rafiki yako lakini jiandae kwa mapambano dhidi yake , tuishi kwa tahadhari
Jiridhishe kablaNi bora kuuliza ukajua ukweli wa mambo, kuliko kuchukua hatua ambayo itakuletea majuto baadae baada ya kujua ukweli wa mambo wakati umeshaharibu. Jiridhishe kabla ya maamuzi itakusaidia
Jiridhishe kablaNi bora kuuliza ukajua ukweli wa mambo, kuliko kuchukua hatua ambayo itakuletea majuto baadae baada ya kujua ukweli wa mambo wakati umeshaharibu. Jiridhishe kabla ya maamuzi itakusaidia
SAWASAWA..Ni bora kuuliza ukajua ukweli wa mambo, kuliko kuchukua hatua ambayo itakuletea majuto baadae baada ya kujua ukweli wa mambo wakati umeshaharibu. Jiridhishe kabla ya maamuzi itakusaidia
...wanakuamini...Watu wakikuona wewe ni muaminifu, wanakuamini na kuwa na imani na wewe, watakupenda, watapenda pia kukufanyia vitu vizuri , kwa hiyo uaminifu ni mtaji tosha huitaji miujiza kufanikiwa
USIKATE TAMAA...Kukata tamaa ni moja ya kituo katika safari ya maisha na kujitafuta , ukifika hicho kituo usijute kujiona unakata tamaa wala usipambane kutaka usijisikie hivyo, cha msingi endelea ni sawa kabisa kujiskia vibaya ikiwa mambo yako hayajaa kaa vizuri.endelea na harakati
....wenzako wasaidie..Ukipata nafasi ya kuwasaidia wenzako wasaidie, ukipata nafasi ya kuwasemea wenzako sehemu wasemee vizuri, ukipata nafasi ya kuwashauri wenzako washauri vizuri, maisha ni kusaidiana, si vibaya na wewe ukawa mtu wa msaada kwa watu wengine
NAKUBALIUkishakuwa Mtu Mzima Utaelewa Kuwa Ukimya Una Nguvu Kuliko Kujitetea Kwa Watu.
SAWA..Baada ya kumwomba Mungu kwa kile unachokihitaji, usisahau kumwomba na Nidhamu ya kukitunza hicho alichokupa, mfano utajiri na mwisho hakikisha unamwomba Busara ya kutumia Utajiri aliokupa.
SAWA...Baada ya kumwomba Mungu kwa kile unachokihitaji, usisahau kumwomba na Nidhamu ya kukitunza hicho alichokupa, mfano utajiri na mwisho hakikisha unamwomba Busara ya kutumia Utajiri aliokupa.
✅ ✅Ukishakuwa Mtu Mzima Utaelewa Kuwa Ukimya Una Nguvu Kuliko Kujitetea Kwa Watu.