Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Usisahau kuna wakati wakishakuumiza watarudi kuulizia unaendeleaje ili wapime ukubwa wa majeraha waliyokuachia, waache waende tutawapa tabasamu, wakirudi tutawaonesha tabasamu, ushindi wao ni kutuona tukiumia na wanaumia sana kuona hatujaumia