moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Daima utambulisho wako kwa BOSS wako uwe kazi yako, ukaribu wenu utokane na matunda ya kazi yako, maneno na kujipendekeza huisha ila kazi na weledi husalia kama Mtetezi wako daima.
📌📌Daima utambulisho wako kwa BOSS wako uwe kazi yako, ukaribu wenu utokane na matunda ya kazi yako, maneno na kujipendekeza huisha ila kazi na weledi husalia kama Mtetezi wako daima.
Daima utambulisho wako kwa BOSS wako uwe kazi yako, ukaribu wenu utokane na matunda ya kazi yako, maneno na kujipendekeza huisha ila kazi na weledi husalia kama Mtetezi wako daima.
Penda sana kutumia neno TUMEFANYA, husudu neno TUMESHINDA, usikimbilie kusema neno TUMEPOTEZA kama hujawahi kusema TUMEFANYA, popote tanguliza wingi, jiweke nyuma ama kaeni mbele nyote kwa pamoja, mwisho wa siku mtafanya kwa wakati wenu na kuondoka zenu

✅️✅️Kwenye mapambano upo kwenye chumba cha peke yako ambacho ni kidogo kama Kaburi, ila utakapofanikiwa watu watajaza ukumbi kukupigia makofi, uhalisia ni kuwa hakuna anayejali shida zako ila ukishinda tutazipenda hela zako, ukifahamu hilo umeyafahamu maisha
Kwenye mapambano upo kwenye chumba cha peke yako ambacho ni kidogo kama Kaburi, ila utakapofanikiwa watu watajaza ukumbi kukupigia makofi, uhalisia ni kuwa hakuna anayejali shida zako ila ukishinda tutazipenda hela zako, ukifahamu hilo umeyafahamu maisha

Ukiwa unamenya karanga za Kipofu, hakikisha unapiga sana miruzi ili awe na amani kuwa hauli karanga zake, kwenye kila kazi ya watu utakayopewa basi jitahidi sana kuwa muumini wa kurejesha taarifa kila wakati”
✔️✔️Ukiwa unamenya karanga za Kipofu, hakikisha unapiga sana miruzi ili awe na amani kuwa hauli karanga zake, kwenye kila kazi ya watu utakayopewa basi jitahidi sana kuwa muumini wa kurejesha taarifa kila wakati”