myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
📌📌📌Macho mawili utazame sana, masikio mawili usikie sana ila usisahau mdomo mmoja ili useme kidogo na meno mengi kuzuia usiseme mengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
📌📌📌Macho mawili utazame sana, masikio mawili usikie sana ila usisahau mdomo mmoja ili useme kidogo na meno mengi kuzuia usiseme mengi.
SawasawaMacho mawili utazame sana, masikio mawili usikie sana ila usisahau mdomo mmoja ili useme kidogo na meno mengi kuzuia usiseme mengi.
Sawasawa ✔️ ✔️Macho mawili utazame sana, masikio mawili usikie sana ila usisahau mdomo mmoja ili useme kidogo na meno mengi kuzuia usiseme mengi.
✅️✅️Unakosea sana unapojitetea sana kwakuwa Watu husikia kile wanachotaka kusikia pekee.
👍👍Hakuna anayekutazama kwa umakini na utulivu kama yule ambaye hakuamini uwezo wako, ukishalitambua hilo hakikisha unawakaribisha kwenye ukumbi wa cinema watazame “show” yako ya ushindi vizuri
📌📌📌Unakosea sana unapojitetea sana kwakuwa Watu husikia kile wanachotaka kusikia pekee.
Hupenda watakacho...Unakosea sana unapojitetea sana kwakuwa Watu husikia kile wanachotaka kusikia pekee.
Hili muhimuMsaidie Mtu kisha mpe uhuru aende zake, Mungu ametuumba na rizki za wengine ukisaidia maana yake umetimiza jukumu kwa Mungu wako.
🤣🤣Hakuna Fukara mtandaoni, hakuna aliyefeli mtandaoni na hakuna anayepost alichofeli mtandaoni, usiishi na mambo ya mtandaoni fanya kama huoni.
Hakuna Fukara mtandaoni, hakuna aliyefeli mtandaoni na hakuna anayepost alichofeli mtandaoni, usiishi na mambo ya mtandaoni fanya kama huoni.
🙏🙏Msaidie Mtu kisha mpe uhuru aende zake, Mungu ametuumba na rizki za wengine ukisaidia maana yake umetimiza jukumu kwa Mungu wako.