myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
πππMacho mawili utazame sana, masikio mawili usikie sana ila usisahau mdomo mmoja ili useme kidogo na meno mengi kuzuia usiseme mengi.
SawasawaMacho mawili utazame sana, masikio mawili usikie sana ila usisahau mdomo mmoja ili useme kidogo na meno mengi kuzuia usiseme mengi.
Sawasawa βοΈ βοΈMacho mawili utazame sana, masikio mawili usikie sana ila usisahau mdomo mmoja ili useme kidogo na meno mengi kuzuia usiseme mengi.
β οΈβ οΈUnakosea sana unapojitetea sana kwakuwa Watu husikia kile wanachotaka kusikia pekee.
ππHakuna anayekutazama kwa umakini na utulivu kama yule ambaye hakuamini uwezo wako, ukishalitambua hilo hakikisha unawakaribisha kwenye ukumbi wa cinema watazame βshowβ yako ya ushindi vizuri
πππUnakosea sana unapojitetea sana kwakuwa Watu husikia kile wanachotaka kusikia pekee.
Hupenda watakacho...Unakosea sana unapojitetea sana kwakuwa Watu husikia kile wanachotaka kusikia pekee.
Hili muhimuMsaidie Mtu kisha mpe uhuru aende zake, Mungu ametuumba na rizki za wengine ukisaidia maana yake umetimiza jukumu kwa Mungu wako.
π€£π€£Hakuna Fukara mtandaoni, hakuna aliyefeli mtandaoni na hakuna anayepost alichofeli mtandaoni, usiishi na mambo ya mtandaoni fanya kama huoni.
Hakuna Fukara mtandaoni, hakuna aliyefeli mtandaoni na hakuna anayepost alichofeli mtandaoni, usiishi na mambo ya mtandaoni fanya kama huoni.
ππMsaidie Mtu kisha mpe uhuru aende zake, Mungu ametuumba na rizki za wengine ukisaidia maana yake umetimiza jukumu kwa Mungu wako.