myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔️ ✔️Wakati mwingine kujiwekea matarajio makubwa kunatupa chachu ya kupambana zaidi.
Sawasawa.Wakati mwingine kujiwekea matarajio makubwa kunatupa chachu ya kupambana zaidi.
Kweli kabisaMaisha!! ni mafupi sana kuhifadhi vinyongo,kisasi na chuki. Amka asubuhi nawa uso nenda kazini.