Ukiwa na ATTITUDE chanya ni rahisi zaidi kuona vitu ambavyo wengine hawavioni. Sikia, huo mtazamo wako kwenye hicho kitu unachokitafuta utakusaidia kuendelea kuamini katika HIYO NDOTO YAKO hata kama mazingira yanayokuzunguka hayaoneshi DALILI yoyote ile ya wewe KUTOBOA!