Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
kuna WATU watakusifia kwa sababu wanataka KUKUAMINISHA kuwa wanakusupport na wapo na wewe. Lakini (ukweli uliofichwa kwako) ni kuwa wanatamani USHINDWE na UFELI ili waseme kwamba walikuwa wanajua kuwa hicho unafanya HAKIKUWA SAHIHI