Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
✔️kuna wakati huwezi kujifunza hadi upite kwanza kwenye HALI fulani za maisha ambazo zitakuonesha bado upo DARASANI kwenye MAFUNZO
✔️✔️kuna wakati huwa tunakwepa kufanya maamuzi muhimu na magumu kwenye maisha yetu kwa sababu ya KUKOSA MGUSO wa ndani.
KUBISHANA ama KUSHINDANA hakufai....thamani yako haiongezwi kwa KUBISHANA ama KUSHINDANA na WASIOKUTHAMINI bali kwa KUENDELEA KUFANYA BILA KUCHOKA vitu vya THAMANI kwenye maisha yako.
✔️✔️kuna maajabu ya watu kufikiri kuwa kuna watu wa aina fulani ndio wanahaki ya kufanikiwa TU PEKE YAO katika mambo fulani ya MAISHA
📌📌kuna watu HAWAKUTHAMINI kwa sababu bado hawajaijua thamani yako, lakini hiyo haimaanishi hauna thamani kabisa
✅✅kuna watu hawakuthamini kwa sababu wanaona unachofanya wanatamani kufanya ila wameshindwa
Sawa..thamani yako haiongezwi kwa KUBISHANA ama KUSHINDANA na WASIOKUTHAMINI bali kwa KUENDELEA KUFANYA BILA KUCHOKA vitu vya THAMANI kwenye maisha yako.
...mambo fulani ya MAISHAkuna maajabu ya watu kufikiri kuwa kuna watu wa aina fulani ndio wanahaki ya kufanikiwa TU PEKE YAO katika mambo fulani ya MAISHA
✔️✔️kuna maajabu ya watu kufikiri kuwa kuna watu wa aina fulani ndio wanahaki ya kufanikiwa TU PEKE YAO katika mambo fulani ya MAISHA
mambo fulani ya MAISHAKATIKA maisha unaweza kupata chochote kile unachokitaka lakini SIO LAZIMA utumie NJIA wanazotumia watu wengine kupata hayo MAFANIKIO yao