myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
📌 📌THAMANI yako HAIPUNGUI kwa sababu watu hawathamini ama kukubali unachofanya bali thamani YAKO huwa inapungua pale ambapo UNAACHA KUFANYA kitu unachojua ni MUHIMU kwa maisha yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
📌 📌THAMANI yako HAIPUNGUI kwa sababu watu hawathamini ama kukubali unachofanya bali thamani YAKO huwa inapungua pale ambapo UNAACHA KUFANYA kitu unachojua ni MUHIMU kwa maisha yako.
THAMANI yako HAIPUNGUITHAMANI yako HAIPUNGUI kwa sababu watu hawathamini ama kukubali unachofanya bali thamani YAKO huwa inapungua pale ambapo UNAACHA KUFANYA kitu unachojua ni MUHIMU kwa maisha yako.
KWELI..THAMANI yako HAIPUNGUI kwa sababu watu hawathamini ama kukubali unachofanya bali thamani YAKO huwa inapungua pale ambapo UNAACHA KUFANYA kitu unachojua ni MUHIMU kwa maisha yako.
THAMANI yako HAIPUNGUIkila mmoja ndani yake kapewa uwezo tofauti wa kumfanya awe na STAMINA ya kuendelea KUVUMILIA kwenye mchakato wa KULIISHI KUSUDI LAKE hapa DUNIANI!
mafanikio ya kweli HAYAPIMWI ✔️elewa kuwa mafanikio ya kweli HAYAPIMWI kwa kile unachofanya ukilinganisha na wanachofanya wengine, bali HUPIMWA kwa kile unachofanya ukilinganisha na UWEZO ama KIPAWA alichokupatia MUNGU wako!
👍👍elewa kuwa mafanikio ya kweli HAYAPIMWI kwa kile unachofanya ukilinganisha na wanachofanya wengine, bali HUPIMWA kwa kile unachofanya ukilinganisha na UWEZO ama KIPAWA alichokupatia MUNGU wako!
UJUMBE MUHIMU..kuna WATU watakusifia kwa sababu wanataka KUKUAMINISHA kuwa wanakusupport na wapo na wewe. Lakini (ukweli uliofichwa kwako) ni kuwa wanatamani USHINDWE na UFELI ili waseme kwamba walikuwa wanajua kuwa hicho unafanya HAKIKUWA SAHIHI
...unaweza kupata chochote..KATIKA maisha unaweza kupata chochote kile unachokitaka lakini SIO LAZIMA utumie NJIA wanazotumia watu wengine kupata hayo MAFANIKIO yao
..unaweza kupata chochote....KATIKA maisha unaweza kupata chochote kile unachokitaka lakini SIO LAZIMA utumie NJIA wanazotumia watu wengine kupata hayo MAFANIKIO yao
✔️ ✔️kuna WATU watakusifia kwa sababu wanataka KUKUAMINISHA kuwa wanakusupport na wapo na wewe. Lakini (ukweli uliofichwa kwako) ni kuwa wanatamani USHINDWE na UFELI ili waseme kwamba walikuwa wanajua kuwa hicho unafanya HAKIKUWA SAHIHI
✅✅Ukiwa na ATTITUDE chanya ni rahisi zaidi kuona vitu ambavyo wengine hawavioni. Sikia, huo mtazamo wako kwenye hicho kitu unachokitafuta utakusaidia kuendelea kuamini katika HIYO NDOTO YAKO hata kama mazingira yanayokuzunguka hayaoneshi DALILI yoyote ile ya wewe KUTOBOA!
SAHIHI..kuna WATU watakusifia ukiwa nao kwa sababu wanaona kila mtu anakusifia lakini wakiwa na watu wengine WANAKUSAGIA KUNGUNI ile mbaya
UKO SAWASAWA..kuna WATU watakusifia kwa sababu wanataka KUKUAMINISHA kuwa wanakusupport na wapo na wewe. Lakini (ukweli uliofichwa kwako) ni kuwa wanatamani USHINDWE na UFELI ili waseme kwamba walikuwa wanajua kuwa hicho unafanya HAKIKUWA SAHIHI
NAKUBALIANA NA HILI..kuna WATU katika maisha watakusifia kwa sababu wanataka kujenga ukaribu na wewe ili uwaamini na kuwambia SIRI zako halafu watimize DHAMIRA zao OVU juu yako, ili iwe ngumu kwa watu wengine kuamini kama ni wao ndio WALIOFANYA
ujumbe muhmukuna WATU watakusifia katika maisha kwa sababu UMEANZA KUFANYA mambo yako kwa level zao, ila wakiona UNAWAZIDI basi wanaanzisha VITA na WEWE!
SawaNi kweli maisha hayana Formular ila hayakuruhusu kuruhusu kila njia kupata mafanikio, njia yoyote utakayotumia hakikisha ni halali kwanza.
NakubalianaHaijalishi Unapotia Magumu Kiasi Gani Kwenye Utafutaji Wako , Hela Zinakuwa mbali na Mifuko Yako.
Na yote hayoo Lakini hatuna Budi Kumshukuru Mungu Kwa Kuwa na Afya Njema.
SawaHaijalishi Unapotia Magumu Kiasi Gani Kwenye Utafutaji Wako , Hela Zinakuwa mbali na Mifuko Yako.
Na yote hayoo Lakini hatuna Budi Kumshukuru Mungu Kwa Kuwa na Afya Njema.
📌📌📌Ni kweli maisha hayana Formular ila hayakuruhusu kuruhusu kila njia kupata mafanikio, njia yoyote utakayotumia hakikisha ni halali kwanza.
Kupitia kufanya kazi kwa bidii, uvumilivu na kumuamini Mungu, unaweza kuishi ndoto zako.