myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
INAWEZA KUWA..
KUNA UKWELI ..
huu sina uhakika
APUMZIKE KWA AMANI..
...inategemea jinsi unavyoishiKuona wema wa mtu inategemea jinsi unavyoishi nae,usipende kudharau wala kuwabeza watu,unaweza jikuta umepoteza watu wenye uwezo wa kukutoa hatua moja kwenda nyingine kutokana na tabia yako ya dharau na majivuno.
✅ ✅Katika kila juhudi unayoonyesha jitaidi kukumbuka so kila unachofanya kitapendeza machoni mwa watu
🙏 🙏Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso; ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
‘Mathayo 6:17-18
KWELIKupinga kila kitu haikufanyi uonekane una akili kuliko wengine, na kukubali kila kitu haikufanyi uonekane wewe ni mtii kuliko wengine.
AISEE....KWA JIRANI HAPO
KWA JIRANI NAKO......
WANA 'sukari kwenye ndimi zao....Usiwe rahisi sana kuamini maneno ya watu watu wengine wana sukari kwenye ndimi zao ila wana sumu kali moyoni Mwao
SAWA KABISA..Kuaminika Ni Bora Zaidi Kuliko Kupendwa
baraka,neema na rehema za Mungu zipo kwenye kushukuruKwenye maisha kuna nguvu kubwa sana katika kushukuru baraka,neema na rehema za Mungu zipo kwenye kushukuru Mshukuru Mungu kwa kukupa nafasi ya kuiona siku mpya Mungu akupe hitaji la moyo wako Mungu abariki vinywa vyote vinavyoshukuru
KWELI...Usiwe rahisi sana kuamini maneno ya watu watu wengine wana sukari kwenye ndimi zao ila wana sumu kali moyoni Mwao