Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye maisha kuna nguvu kubwa sana katika kushukuru baraka,neema na rehema za Mungu zipo kwenye kushukuru Mshukuru Mungu kwa kukupa nafasi ya kuiona siku mpya Mungu akupe hitaji la moyo wako Mungu abariki vinywa vyote vinavyoshukuru
baraka,neema na rehema za Mungu zipo kwenye kushukuru
 
Back
Top Bottom