myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✔️✔️✔️Kwenye maisha unapogundua wewe ni nani na unataka kuwa nani, tayari umefungua mlango mkubwa sana wa mafanikio yako. Wengi wetu tumeishia kuwa watumwa huru kwasababu bado hatujajijua wala kujifahamu
✅️✅️Maisha hayako kama uyaonavyo. Ukionacho kamili yamkini ni kibovu na ukionacho kibovu yamkini kiko kamili
📌📌📌Maisha hayako kama uyaonavyo. Ukionacho kamili yamkini ni kibovu na ukionacho kibovu yamkini kiko kamili
Mara nyingine ni sawa kabisa kujisikia uko down au umeshuka moyo. Ni sehemu ya maisha. Kisichotakiwa ni kuruhusu hizo hisia kucontrol maisha yako. Ukiziruhusu tu, zinayapindisha maisha yako
Kama kila unachokiwaza na kukiona ndani yako ni makosa. Maisha yatakupa kila kitu kikiwa kimekosewa. Badili namna uwazavyo ili ibadili namna uishivyo
Nakubaliana na weweKama kila unachokiwaza na kukiona ndani yako ni makosa. Maisha yatakupa kila kitu kikiwa kimekosewa. Badili namna uwazavyo ili ibadili namna uishivyo
Sawa piaMara nyingine ni sawa kabisa kujisikia uko down au umeshuka moyo. Ni sehemu ya maisha. Kisichotakiwa ni kuruhusu hizo hisia kucontrol maisha yako. Ukiziruhusu tu, zinayapindisha maisha yako