myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Jioni njema mamalishe wote maandalizi ya iftar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu hawa watatu ni hazina kubwa sana, usiwachukulie poa kamwe
1. Wale wanaosimama na wewe katika shida na raha.
2. Wale wanaokutaja jina lako kwenye vyumba vilivyojaa fursa.
3. Wale wanaojali hisia zako na afya yako ya akili.
Waheshimu, wathamini, na waombee
👍👍Yatumie vizuri mambo matano kabla hayajakupata matano mengine.
1. Uhai wako kabla ya kifo chako.
2. Afya yako kabla ya maradhi
3. Utajiri wako kabla hujafukarika
4. Ujana wako kabla ya utu uzima wako
5. Nguvu zako kabla hujapata udhaifu.
✅️✅️Yatumie vizuri mambo matano kabla hayajakupata matano mengine.
1. Uhai wako kabla ya kifo chako.
2. Afya yako kabla ya maradhi
3. Utajiri wako kabla hujafukarika
4. Ujana wako kabla ya utu uzima wako
5. Nguvu zako kabla hujapata udhaifu.
Yatumie vizuri mambo matano kabla hayajakupata matano mengine.
1. Uhai wako kabla ya kifo chako.
2. Afya yako kabla ya maradhi
3. Utajiri wako kabla hujafukarika
4. Ujana wako kabla ya utu uzima wako
5. Nguvu zako kabla hujapata udhaifu.
Watu hawa watatu ni hazina kubwa sana, usiwachukulie poa kamwe
1. Wale wanaosimama na wewe katika shida na raha.
2. Wale wanaokutaja jina lako kwenye vyumba vilivyojaa fursa.
3. Wale wanaojali hisia zako na afya yako ya akili.
Waheshimu, wathamini, na waombee
Yatumie vizuri mambo matano kabla hayajakupata matano mengine.
1. Uhai wako kabla ya kifo chako.
2. Afya yako kabla ya maradhi
3. Utajiri wako kabla hujafukarika
4. Ujana wako kabla ya utu uzima wako
5. Nguvu zako kabla hujapata udhaifu.
✔️👍✔️Watu hawa watatu ni hazina kubwa sana, usiwachukulie poa kamwe
1. Wale wanaosimama na wewe katika shida na raha.
2. Wale wanaokutaja jina lako kwenye vyumba vilivyojaa fursa.
3. Wale wanaojali hisia zako na afya yako ya akili.
Waheshimu, wathamini, na waombee
Watu hawa watatu ni hazina kubwa sana, usiwachukulie poa kamwe
1. Wale wanaosimama na wewe katika shida na raha.
2. Wale wanaokutaja jina lako kwenye vyumba vilivyojaa fursa.
3. Wale wanaojali hisia zako na afya yako ya akili.
Waheshimu, wathamini, na waombee
📌📌Unapo Ongoza kwa huruma, uaminifu na upendo, unaunda fursa za uhusiano wa kweli na athari zinazodumu. Mafanikio si tu safari ya kile unachotaka kufikia ni pia unavyoweza kunyanyua wengine njiani.
✅️✅️Vitu tunavyovikumbatia ndivyo vinavyotuumiza na tusivyovikumbatia ndio viko salama na sisi, Chagua unachokumbatia na ambacho haukumbatii, Chagua Vizur ili uishi Vizuri
✅️✅️Unapo Ongoza kwa huruma, uaminifu na upendo, unaunda fursa za uhusiano wa kweli na athari zinazodumu. Mafanikio si tu safari ya kile unachotaka kufikia ni pia unavyoweza kunyanyua wengine njiani.
SawaUsiogope kushindwa; jaribu tena na tena. Mafanikio huja kwa wale wanaojifunza kutokana na makosa na kuendelea kusonga mbele.
Safari bado ni ndefu, lakini kila hatua ni muhimu.
✔️👍✔️Mtu muhimu maishani si yule anayesherehekea nawe unapofanikiwa, bali ni yule anayekunyanyua unapokumbwa na changamoto katika safari yako ya mafanikio.
Mtu muhimu maishani si yule anayesherehekea nawe unapofanikiwa, bali ni yule anayekunyanyua unapokumbwa na changamoto katika safari yako ya mafanikio.
✅️✅️✅️Mtu muhimu maishani si yule anayesherehekea nawe unapofanikiwa, bali ni yule anayekunyanyua unapokumbwa na changamoto katika safari yako ya mafanikio.
UKO SAHIHIKwenye maisha unapogundua wewe ni nani na unataka kuwa nani, tayari umefungua mlango mkubwa sana wa mafanikio yako. Wengi wetu tumeishia kuwa watumwa huru kwasababu bado hatujajijua wala kujifahamu
📌📌Badala ya kusema wao wana furaha kuliko mimi, ni bora useme nina furaha kama waliyonayo wao. Unaweza kudhani wana furaha kumbe na wao wanatamani furaha uliyonayo wewe. Maisha kitendawili
👍👍Ni hatua ya juu sana ya kupevuka pale unapo weza kujiambia unatosha na kuzishinda hisia za kukimbizana ukishindana na wale unaohisi wamefanikiwa zaidi yako