myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SAWASAWA KABISA ✔️Elimu sahihi ni msingi wa mabadiliko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAWASAWA KABISA ✔️Elimu sahihi ni msingi wa mabadiliko.
MuhimuTunza energy yako, muda wako na pesa zako. Acha jamii iseme, wewe kaa kimya, jenga na unda bidhaa zako, ongeza thamani na tengeneza empire na legacy.
✅️✅️✅️Tunza energy yako, muda wako na pesa zako. Acha jamii iseme, wewe kaa kimya, jenga na unda bidhaa zako, ongeza thamani na tengeneza empire na legacy.
✔️✔️Kile ambacho jamii inakwambia ni sahihi. Kikiwa sahihi kweli basi hakina maana sana. Kile unachoaminishwa sio sahihi mara nyingi ndio sahihi na vina maana zaidi.
Masomo ya kuzingatia zaidi maishani ni saikolojia ya mwanadamu, falsafa, mindset na sayansi ya kuzalisha pesa.
Kwenye maisha ni aidha uchague kuishi maisha, malengo na kusudi lako au ujitoe ufahamu jamii ikupangie nini cha kufanya
Shuleni unatakiwa uwe bora zaidi kwenye mambo ambayo hayapewi kipaumbele kufundishwa darasani.
Copywriting ndio ujuzi wa thamani zaidi, ambao hakuna mwanadamu yeyote anayefanya kazi yoyote ile hatauhitaji
Nakubaliana na weweChuo ndo sehemu pekee ya kujenga network na kutafuta watu wa kukuingiza kwenye system an ecosystems.
Wewe ni muhimu kwa wale unaowafaa. Usihamishie umuhimu wako kwa wengine. Hao wengine kabla hujawataka wakupe umuhimu uliozoea kuupata, wape nao fursa ya kuuona huo umuhimu wako waliouona hao wengine katika maisha yao." ~Togolani Mavura.
Ni muhimu kujua kuna urafiki na kuna kujua watu wengi, hizo ni vitu mbili tofauti
Vitu Hauwezi Kununua kwa Pesa: Adabu, Maadili, Heshima Tabia, Busara, Uaminifu,Uvumilivu, Uhai, Uadilifu, Utu na Upendo
👍👍Ni muhimu kujua kuna urafiki na kuna kujua watu wengi, hizo ni vitu mbili tofauti
📌📌📌Katika maisha yetu Wanadamu ni vyema Mtu ukatae Visasi,Kutenda Ubaya kwa mtu,Chuki,Kujikweza nk. Kesho yetu anaijuwa Mungu tu.
📌📌Ukiwa maskini hakuna anaetaka kujua chanzo cha umaskini wako, ila ukiwa tajiri tu kila mtu atachunguza chanzo cha utajiri wako"
Sawasawa kabisa ✔️Binadamu hatokusahau kwa mambo matatu, kwanza kauli nzuri, pili, sikio la kumsikiliza, na tatu zawadi. Haya matatu humfanya ajisikie unamtambua, unamheshimu na unamthamini. Mengine yanasahuilika"
✅️✅️Wewe ni muhimu kwa wale unaowafaa. Usihamishie umuhimu wako kwa wengine. Hao wengine kabla hujawataka wakupe umuhimu uliozoea kuupata, wape nao fursa ya kuuona huo umuhimu wako waliouona hao wengine katika maisha yao." ~Togolani Mavura.
👍👍👍Binadamu hatokusahau kwa mambo matatu, kwanza kauli nzuri, pili, sikio la kumsikiliza, na tatu zawadi. Haya matatu humfanya ajisikie unamtambua, unamheshimu na unamthamini. Mengine yanasahuilika"
📌📌📌Kiatu chako ni muhimu zaidi kuliko vile unavyofikiria. Wanasaikolojia wamegundua watu huwa na hitimisho juu ya mtu kulingana na kiatu kipi amevaa. Zingatia viatu vyako.