Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utakuja kugundua kuwa hofu zako nyingi huwa zinatishia hisia zako tu, hazitishii maisha yako. Your fears are not physical but imaginary. Ukiziendekeza hisia zako hupigi hatua
 
Unaweza ukaibuliwa na mitandao, mitandao ikakupaisha, ukawa maarufu sana. Usipojifunza kumudu mafanikio, utashuka na kupotea kabisa. Mitandao inaibua ila haiendelezi. Watu wa mitandaoni wanamihemko, wanakupenda leo kesho washakuchoka. Unahitaji zaidi ya kipaji
 
Ukiona unakosa hamasa na motisha mara kwa mara ni alama kwamba unafanya ambacho hukuitiwa kukifanya hapa duniani. Unafanya kisicho wito wako. You are out of your divine purpose. Ngumu sana kuwa na furaha kwa hali hii
 
Back
Top Bottom