Kufeli au kushindwa sio kitu cha kukilaumu na kukilaani sana bali ni kitu cha kukikubali na kukipokea ktk mtazamo chanya kama kituo muhimu cha kujifunza, kubadilika na kukua. Kufeli kwako kusipo kupa faida basi hufai kwenye safari ya mafanikio

Kuna watu wakiondoka maishani mwako kabla ya wakati ujue kuna mawili. Ni ama wewe hukujua kusudi la wao kuletwa kwako au wao hawakujua kusudi la wewe kutambulishwa kwao

Kama ambavyo huwezi mwaga kitu kutoka kwenye kikombe kitupu, vilevile huwezi mwaga upendo kwa wengine wakati hujipendi wewe kwanza. You cant give what you dont have

Kuna nyakati tumaini lako linagoma kabisa kukaa kwenye vitu, kwenye pesa au kwenye watu, linabaki tu kukaa kwa Mungu peke yake. Ukifikia hapo ujue muujiza wako uko karibu