Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kufeli au kushindwa sio kitu cha kukilaumu na kukilaani sana bali ni kitu cha kukikubali na kukipokea ktk mtazamo chanya kama kituo muhimu cha kujifunza, kubadilika na kukua. Kufeli kwako kusipo kupa faida basi hufai kwenye safari ya mafanikio