moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Aisee
PambaniaPambania ndoto zako,Fanya kazi kwa bidii, Hakikisha unakula vizuri, Fanya Mazoezi ya mwili kilasiku, Ishi maisha ya kupendaza mungu na yenye afya njema.
βοΈβοΈUsijione kwa uchache mkuu, wewe ni zaidi ya unavyojiona, uamuzi unao sasa.
Fanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa yako yote, siku njema inakuja.
βοΈβοΈβοΈUsijione kwa uchache mkuu, wewe ni zaidi ya unavyojiona, uamuzi unao sasa.
Fanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa yako yote, siku njema inakuja.
Usijione kwa uchache mkuu, wewe ni zaidi ya unavyojiona, uamuzi unao sasa.
Fanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa yako yote, siku njema inakuja.
Pambania ndoto zako,Fanya kazi kwa bidii, Hakikisha unakula vizuri, Fanya Mazoezi ya mwili kilasiku, Ishi maisha ya kupendaza mungu na yenye afya njema.
Fanya kazi kwa bidii, lakini usisahau kuishi pia! Uwiano mzuri kati ya kazi na maisha hukusaidia kubaki na nguvu na kuwa tayari kukabiliana na lolote"
Ndoto zako hazina mipaka, isipokuwa ile unayojiwekea mwenyewe. Amini katika uwezo wako, fanya kazi kwa bidii, na usikubali sauti za kushindwa zikuzuie. Mafanikio yako yako mikononi mwako.

Sehemu yoyote unayopata nafasi ya kufanya kazi haijarishi umeajiliwa au unajitolea we onesha uwezo wako, fanya kazi kwa bidii, kuwa mwaminifu, epuka majungu mwisho muombe sana Mungu ufanye kazi za watu salama.