myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
BIDII YAKO MUHIMU
BIDII ndiyo mtaji mkubwa katika chochote kile ufanyacho.
Fanya kazi zako kwa bidii nawe utaona baraka na neema za Mungu zikifurika katika maisha yako kupitia mafanikio.