myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
BIDII ndiyo mtaji mkubwa katika chochote kile ufanyacho.
Fanya kazi zako kwa bidii nawe utaona baraka na neema za Mungu zikifurika katika maisha yako kupitia mafanikio.
Fanya kazi zako kwa bidii, fanya kwa ubora, mwache Mungu afanye yale ambayo bidii yako isingeweza kukufikisha mahali ulistahili kuwa.
ππKila uliko ni mlango wa mafanikio fanya kazi kwa bidii kuwa mvumilivu weka malengo jali muda na zingatia sala
SawasawaBIDII ndiyo mtaji mkubwa katika chochote kile ufanyacho.
Fanya kazi zako kwa bidii nawe utaona baraka na neema za Mungu zikifurika katika maisha yako kupitia mafanikio.
βοΈβοΈβοΈBIDII ndiyo mtaji mkubwa katika chochote kile ufanyacho.
Fanya kazi zako kwa bidii nawe utaona baraka na neema za Mungu zikifurika katika maisha yako kupitia mafanikio.
AiseeFanya kazi kwa bidii, kuwa mvumilivu na usichoke kuomba, wakati wako utafika na utasahau yote unayopitia sasa
NakubalianaFanya kazi kwa bidii, kuwa mvumilivu na usichoke kuomba, wakati wako utafika na utasahau yote unayopitia sasa
ππFanya kazi kwa bidii, kuwa mvumilivu na usichoke kuomba, wakati wako utafika na utasahau yote unayopitia sasa
β οΈβ οΈMaisha sio mchezo wa bahati, ikiwa unataka kushinda, fanya bidii
SawaMaisha sio mchezo wa bahati, ikiwa unataka kushinda, fanya bidii
βοΈβοΈFalsafa zako ziwe, fikiri pakubwa, fanya kazi kwa bidii, na kuwa na ujasiri wa kuyaendea mambo yako kuliko wengine.
β οΈβ οΈβ οΈKijana ukipata fursa fanya kazi, fanya kwa bidii na kamwe usiendekeze Uvivu.
ππFalsafa zako ziwe, fikiri pakubwa, fanya kazi kwa bidii, na kuwa na ujasiri wa kuyaendea mambo yako kuliko wengine.
Apumzike kwa amaniDoy Moke ameuwawa kwao Bukavu Kongo DRView attachment 3264129
Nakubaliana na weweFalsafa zako ziwe, fikiri pakubwa, fanya kazi kwa bidii, na kuwa na ujasiri wa kuyaendea mambo yako kuliko wengine.