myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
SawaUkweli ndio msingi wa maisha
Uongo ni kikwazo cha maisha
Furaha ndio raha ya maisha
Huzuni ni karaha ya maisha
KweliKuna mstari mwembamba sana kati ya kufurahia ujana wako na kuharibu maisha yako yajayo,jua tofauti.
SawasawaFanya vitu vyote lakini usisahau kupambania ndoto zako maana kuna maisha mengine baada ya ujana na starehe jiandae vyema kiuchumi leo ili kesho yako usizalilike.
Pia hili sawaFanya vitu vyote lakini usisahau kupambania ndoto zako maana kuna maisha mengine baada ya ujana na starehe jiandae vyema kiuchumi leo ili kesho yako usizalilike.
πππJitahidi kwenye ujana wako usifanye mambo yatakayokufanya ujutie maisha yako yote.
βοΈβοΈβοΈFanya vitu vyote lakini usisahau kupambania ndoto zako maana kuna maisha mengine baada ya ujana na starehe jiandae vyema kiuchumi leo ili kesho yako usizalilike.
Ukweli ndio msingi wa maisha
Uongo ni kikwazo cha maisha
Furaha ndio raha ya maisha
Huzuni ni karaha ya maisha
β οΈβ οΈJitahidi kwenye ujana wako usifanye mambo yatakayokufanya ujutie maisha yako yote.
Naamini hiliKuna mstari mwembamba sana kati ya kufurahia ujana wako na kuharibu maisha yako yajayo,jua tofauti.
Pia naamini hiliUjanaβ ni kipindi muhimu sana kwa maendeleo katika Maisha ya binadamu
Hata hili naamini piaKuna maisha baada ya ujana tumia muda wako vizuri
Asante kwa ujumbeKuna maisha baada ya ujana tumia muda wako vizuri
Ni kweliUsipofanya bidii kwenye ujana wako utakuja kuishi maisha magumu sana uzeeni
πππKupitwa na mambo ya ujana wa muda mfupi ili ujenge maisha yako ya muda mrefu sio ushamba
Sawasawa βοΈ βοΈUjanaβ ni kipindi muhimu sana kwa maendeleo katika Maisha ya binadamu
Uko SawasawaUnapozidi kufanikiwa, kipawa na kipaji kinapozidi kukupeleka juu, akili, kazi na elimu vikikupaisha jitahidi sana kuongeza unyenyekevu na shukrani. Ukivikosa hivi viwili mahusiano yako na watu yatachacha
β οΈβ οΈUjana siyo muonekano wako. Ujana ni uwezo wako wa kujuwa fursa ulizonazo kama kijana na zipi hutakuwa nazo baada ya ujana.
ππUjana siyo muonekano wako. Ujana ni uwezo wako wa kujuwa fursa ulizonazo kama kijana na zipi hutakuwa nazo baada ya ujana.
ππUnapoitambua thamani yako namna unavyo fanya maamuzi inabadilika, kuitafuta furaha yako kunabadilika na maisha yako yanakuwa rahisi zaidi. Self-worth is key
Ukiona unakosa hamasa na motisha mara kwa mara ni alama kwamba unafanya ambacho hukuitiwa kukifanya hapa duniani. Unafanya kisicho wito wako. You are out of your divine purpose. Ngumu sana kuwa na furaha kwa hali hii