myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Kwenye maisha kuna makosa ambayo ukiyafanya unaweza kujutia, ukajirekebisha na kuendelea na maisha. Kuna makosa mengine ukisha yafanya utajutia, utajirekebisha ila madhara yake huwezi kuyabadili kamwe na maisha hayatokuwa kama yalivyokuwa mwanzo. Kuwa makini sana

Jipende sana mpaka usiruhusu mtu mwingine yeyote a control furaha yako, afya yako na muonekano wako. Jipende uwe huru mbali na utumwa wa kihisia na kiakili. Self care is key
ππKufeli au kushindwa sio kitu cha kukilaumu na kukilaani sana bali ni kitu cha kukikubali na kukipokea ktk mtazamo chanya kama kituo muhimu cha kujifunza, kubadilika na kukua. Kufeli kwako kusipo kupa faida basi hufai kwenye safari ya mafanikio
SawasawaKuna nyakati tumaini lako linagoma kabisa kukaa kwenye vitu, kwenye pesa au kwenye watu, linabaki tu kukaa kwa Mungu peke yake. Ukifikia hapo ujue muujiza wako uko karibu